Frequently Asked Questions
Need some answers? We got you covered. Here are some frequently asked questions.
Ndio, ina betri kubwa ya 5000mAh inayoweza kudumu zaidi ya saa 24 kwa matumizi ya kawaida. Huna haja ya kutembea na powerbank kila saa
Tecno Pop 9 ina 13MP AI Camera yenye Flash mbili (Dual Flash) ambazo zinasaidia kuongeza mwanga na kufanya picha zako zionekane vizuri hata kukiwa na giza kidogo.
Ili simu iendelee kufanya kazi, unapaswa kulipia TZS 1,300 kila siku. Ukikosa kulipia, huduma za simu zitafungwa (lock) kwa muda hadi utakapokamilisha malipo yako ya siku hiyo.
Sana! Kioo chake kina 120Hz refresh rate, kumaanisha picha na video zinatembea kwa ulaini sana (smooth) bila kukwama-kwama, tofauti na simu nyingi za bei hii.
Ni rahisi sana. Kila unapofanya malipo yako ya installment ya siku, YAS inakurudishia 200MB papo hapo kwenye laini yako ili uendelee kupata habari mitandaoni.